Harmonize Best Couple, Harmonize ft Rudeboy Best Couple

Bomboclaat (Cough)

Honey, sweetie, baby
Jina gani Linakufaa
Nikuite mpaka kufa
My own, je’taime mubebeee
Jina gani la pekee
Nikuite wewe pekee (Iyee eeh)

Nishajifanya ukibuni
Kugombana na weee!
Ila kipimo changu cha uzuni
Mtu anafanane na wee
Umaanufu pesa changamoto
Ukiwa navyo ungali mtoto
Kukuoa we nikama ndoto
Nahisi kama nimeshinda
Na nilicho gundua

Couple yetu inabamba
Ooh yabambaa
Hata liwake inyeshe mvua
Ni name sambamba
Ohh sambamba
Wewe ni wangu mamaaa
Couple yetu ina bamba
Ooh ina bambaa
Tuombe dua
Mimi na wewe sambambaa
Ooh sambambaa
Bomboclaat

(Eeeh)
There’s something about you
Girl, I can’t live without you
There’s no secret inside you
When I’m standing beside you
You are my beautiful Onyinyee
Eh eh, Ifeoma, eh
I’m feeling you every day
Iyee eh, Chioma eh
Na you make me fall in love
Obimooo ohhh
Anticipate your special touch
Obimooo ohhh
If I could define the way I feel
Kuja kwako wee, eeh
E makwana ife dinma gana di
Finally on the way
Ichoro erapu ndi nwa

Couple yetu inabamba
Ooh yabambaa
Hata liwake inyeshe mvua
Ni name sambamba
Ohh sambamba
Wewe ni wangu mamaaa
Couple yetu ina bamba
Ooh ina bambaa
Tuombe dua
Mimi na wewe sambambaa
Ooh sambambaa

A’udhu billahi min ash-shaytaan in-najeem
Hata tukikesha club asubuhi tuko gym
Nampenda tena namuheshimu
Mkata shombo ukipenda muite ndimu
Bomboclaat
Mamcita
te quiero
Mi amor