Alikiba Ubuyu Lyrics

Ubuyu umenikaba
Napaliwaa
Yule mama, mwenye nyumba mama
Yule mama, wema mama

Yule mama anapenda sana vitoto
Yule mama anawaharibi watoto
Yule mama anapenda sana vitoto
Yule mama wema mama

Anafungua kila siku hadharani
Anabana na vichochoro mie
Ana nyumba ila kwake hakai
Ila siku wana vichochoro mie

Wananmpeleka mpaka chooni ee
Wananmpeleka mpaka sokoni ee
Wananmpeleka mpaka chuoni ee
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo

Na yule mama Ibraa
Pale chini mpakani ee
Ndanyono toto wawili
Si wa jamani ni wa jirani

Wanaongozana mpaka chooni ee
Wananmpeleka mpaka sokoni ee
Si si kama si hatuoni ee
Wanapokezana maskami ee

Huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo

Nato- tongozana jana tu
Eti leo birthday yake
Simu za siku kununuliana luku
Hatumi mita namba yake

Si aseme kama yuko sokoni ee
Mana vimacho-macho, macho mfukoni ee
Si aseme yuko sokoni ee
Tumpeleke moto shimoni ee

Huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo

Ubuyu umenikaba
Leo naumwaga hadharani ee
Watu wana tabia mbaya
Wanamzidi hata shetani ee
Watu wana tabia mbaya
Wanamzidi hata shetani

Wote motoni ee, sijamuona wa peoni ee
Wote motoni ee, sijamuona wa peponi ee
Si aseme yuko sokoni ee