Abbah – Wazungu Lyrics

Abbah The Evolution Album Lyrics

Abbah – The Evolution Album Lyrics

Wazungu Lyrics by Abbah

I would like to introduce to you,
Abbaaah, Bytar beast
Olua, the one and only in town toto baddee
Don’t get it twisted is Abbah Music baby

Kwanza nishadata kwako umenitoa akili, ongeza mikachumbari na mapilipili
kwake mi nawai viwili viwili, nipige suti na tai tutoke wawili
baby girl you know, the way you wine your waist like you know
me touch your body mixer miguno, na unanikosha ukisakata uno uno unoooo
your body type biggie wa sumo, hey yaah vita jumong, yaani kubum kubam nachoma mchomo
ukiletaa nawekaa humo

CHORUS
I say stop, weka mate ama wese iteleze haooo wanakuja, stop! Ikamate kote itembeze haoo wanakuja
wazu wazungu hao x4
I say stop
Ayanza chikisa yanza, ayanza chikisa ye, ayanza achikisa achikisa achikisa yanza x2

VERSE 2
Yo that was Yese Oman Rafiq, now everybody say (Jaivah x3) say (Jaivah x3)
Kwako weka niweke weke, achana na vicheche che che che,
nitulize mapepe pe pe, ukiweza niteke ke ke ke, umeuteka mtima, upendo wako hakuna mzani wa kupima
nitakufuata na beamer, nikuteke nikupeleke diner x2
kwako nakaa nakaa nakaa nakaa nakaa nakaa ka ka ka
nimeshika kwa ngaa kwa ngaa kwa ngaa kwa ngaa kwa ngaa kwa ngaa ngaa ngaa ngaa

CHORUS;
I say stop, weka mate ama wese iteleze haooo wanakuja, stop! Ikamate kote itembeze haoo wanakuja
Ayanza chikisa yanza, ayanza chikisa ye, ayanza achikisa achikisa achikisa yanza x2

Written by; Abbah
Released date; 26 February, 2021
Album/EP; The Evolution

Abbah Wazungu Lyrics