Bahati – Tomato Lyrics

Bahati Tomato Lyrics
Bahati – Tomato Lyrics

Tomato Lyrics by Bahati

Kama tomato ooh, kama tomato
Kama tomato ooh, kama tomato
Kama tomato ooh, kama tomato
Kama tomato ooh, kama tomato

Watazuia hii na watacomment
Bahati hana content
Hawajui kwa hii mechi umenifanya Messi
Nani hajui uliponicollecti, nimpe secret

Sweet like ketchup
Mapenzi yako kwangu ni ya ajabu
Sweet like ketchup
Natamani tu na whatsapp

Kama tomato ooh, kama tomato
Kama tomato ooh, kama tomato
Kama tomato ooh, kama tomato
Kama tomato ooh, kama tomato

Nimekujua today, ulinijua zamani
Nimekupenda today, ulinipenda zamani
Nimekujua today, ulinijua zamani

Aah tatee eeh, nikiwa tumboni
Enzi nalia nalia unaniangalia sana
Mtoto mama eeh nalia nalia
Unaniangalia sana mtoto mama eeh

Sweet like ketchup
Mapenzi yako kwangu ni ya ajabu
Sweet like ketchup
Natamani tu na whatsapp

Kama tomato ooh, kama tomato
Kama tomato ooh, kama tomato
Kama tomato ooh, kama tomato
Kama tomato ooh, kama tomato

Utamu wako niufananishe na nini?
Kama tomato, kama ketchup

Sweet like ketchup
Mapenzi yako kwangu ni ya ajabu
Sweet like ketchup
Natamani tu na whatsapp

Kama tomato ooh, kama tomato
Kama tomato ooh, kama tomato
Kama tomato ooh, kama tomato
Kama tomato ooh, kama tomato

Written by; Bahati
Released date; 5 January, 2021

Bahati Tomato Lyrics