Belle 9 Asante Lyrics
Asante, asante
Asante Baba we Baba
Asante, asante
Asante Baba we Baba
Nasema asante asante
Thank you God (Thank you God)
We Baba
Walichomoa betri moto ukalipuka
Idadi kubwa mauti yaliwakuta
Mimi ni nani? Ah ah ni nani aah
MV Nyerere watu hawakuvuka
Walizama mwisho ukawafika
Sisi ni nani? Mmmh Aah ni nani?
Kesho yetu hatuijui
Tusiache kutubu na kumwabudu ye
Mwabudu ye
Kesho yetu hatuijui
Tusiache kutubu na kumwabudu ye
Mwabudu ye
Hukutaka niteketee
Ukanivusha niendelee
Wewe ni wa pekee nini nikupe eeh
Aah kitushe eeh
Kwa wazazi kwa mafans marafiki
Ulifanya wasilie eeh eh eeeh…
Asante, asante
Asante Baba we Baba
Asante, asante
Asante Baba we Baba
Nasema asante asante
Thank you God
Mmmh we Baba
Hata umiliki pesa mali
Toka msingi sekondari
Anatulinda mpaka uzee
Na hahitaji chochote
Baraka zinaanzia kwake
Wapo waliokukosea wasamehe
Hatujakamilika sote tunapita
Kesho yetu hatuijui
Tusiache kutubu na kumwabudu ye
Mwabudu ye
Kesho yetu hatuijui
Tusiache kutubu na kumwabudu ye
Mwabudu ye
Hukutaka niteketee
Ukanivusha niendelee
Wewe ni wa pekee nini nikupe eeh
Aah kitushe eeh
Kwa wazazi kwa mafans marafiki
Ulifanya wasilie eeh eh eeeh…
Asante, asante
Asante Baba we Baba
Asante, asante
Asante Baba we Baba
Nasema asante asante
Thank you God
Mmmh we Baba
Thank you for everything
Written by; Belle 9
Released date; 12 November, 2020