Ben Pol – Kidani Lyrics

Ben Pol Kidani Lyrics
Ben Pol – Kidani Lyrics

Ben Pol Kidani Lyrics

I wish unipende, unichunge
Nisiende kwengine
Tena unifunge
Unifumbe na macho nisione mwingine

Mmmh naheshimu maamuzi
Hisia kuwa nawe
Usinifanye nijutie
Nionekane mpuzi dunia unishangae
Penzi langu
Nahifadhi mapenzi tuyafanye baadae

Penzi lako utamu wa asali, baby nipe
Nikabidhi nipe kibali, kwa mbwembwe ni tamu
Penzi tamu asali, ooh baby nipe
Nikabidhi nipe kibali

Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala

Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala

Unajua we ndo dawa
Mwenzako nikiugua
Kukukosa nachachawa
Bila shaka unajua

Tena kwako mimi si chochote
Sisikii sioni, sijiwezi kwa lolote
Maneno ya nje tusije yapa mwanya
Oooh my love, fikisha kipimo usijeyagawanya
Oooh my love, heshima upendo na kudhaminiana
Oooh my love, tufike malengo tukishirikiana

Penzi lako utamu wa asali, baby nipe
Nikabidhi nipe kibali, kwa mbwembwe ni tamu
Penzi tamu asali, ooh baby
Nikabidhi nipe kibali

Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala

Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala

Ooh ooh, nalala, nalala
Nalala, nalala, nalala, nalala

Written by; Ben Pol
Released date; 8 December, 2020

Kidani Lyrics by Ben Pol