Bensoul Kesha Lyrics (feat. Ywaya Tajiri)
Oh Jah Jah amecheza na weather
Akasema leo we enjoy together
Kaende kaenda mama itaweza
Party ya mchana imegeuka kesha, kesha
Philomena yoh-yoh-yoh, Philomena yoh (Kesha)
Philomena yoh-yoh-yoh, Philomena yoh (Kesha)
Philomena yoh-yoh-yoh, Philomena yoh (Kesha)
Philomena ke ke kesha, kesha (Kesha)
Naskia fiti walahi naeza lia
Kuserereka starehe na kutulia
Amedunga fiti anatesa anavutia
Baada ya ofisi ni whiskey na ma beer
Cheki toto anacheza na kanungo
Anafanya mpaka nataka
She wants to make me loose my mind
Anapepeta jiko sawa
Bash ni ya amapiano maphorisa
Bash ni ya amapiano maphorisa
Zikishika usiogope kuchoma picha
Zikishika usiogope kuchoma picha
Lawama badaaye zimeshika
So, baby leo hadi kesho maa saa sita (Kesha)
Ni weekendi, weekendi, weekendi na kama haujajua utajua
Ukitaka kukanyaga kiti lazima na meza utachafua
Kama chupa umenunua, usishindwe kufungua
Toto pokea maua, kuna vile unaniua mama
Philomena yoh-yoh-yoh, Philomena yoh
Tukitoka kwa kiwanja, tunaruka kwa kitanda
Nikupatie cucumber (Nikupatie cucumber)
Kapatana na mkamba, mkulima kwenye shamba
Nikupatie cucumber (Cucumber)
Oh Jah Jah amecheza na weather
Akasema leo we enjoy together
Kaende kaenda mama itaweza
Party ya mchana imegeuka kesha
Oh Jah Jah amecheza na weather
Akasema leo we enjoy together
Kaende kaenda mama itaweza
Party ya mchana imegeuka kesha, kesha
Philomena yoh-yoh-yoh, Philomena yoh (Kesha)
Philomena yoh-yoh-yoh, yoh-yoh (Kesha)
Philomena yoh-yoh-yoh, Philomena yoh (Kesha)
Philomena ke ke kesha kesha (Kesha)
Philomena yoh-yoh-yoh, Philomena yoh (Kesha)
Philomena yoh-yoh-yoh, Philomena yoh (Kesha)
Philomena yoh-yoh-yoh, Philomena yoh (Kesha)
Philomena yoh-yoh-yoh, Philomena yoh (Kesha)