Bob Junior x Lava Lava – Itetemeshe Lyrics

Bob Junior Itetemeshe Lyrics, Itetemeshe Lyrics by Bob Junior x Lava Lava

(Alonym on the Track)
Vita ni sodom na gomora
Shape cartoon kachora
Juani umeme wa solar
Yeah yeah…!

Kinyume kafunga bendi, ya choir
Navimwaga vijisenti nishagwaya
Mtama kuku ni wengi usijegawa
Maneno hayajengi yako ka chawa

Kwetu macho nilitoka fundi saa
Kapoteza nahubiri aah
Msumari gorofani kaukanyaga mkandarasi
Waridu warida

Natoa nazidisha
Mbona bado jibu silipati
Maana umeshanimaliza
Umeniweza, umeniweka wapi?

Itetemeshe, Itetemeshe
Itetemeshe, Itetemeshe

Ite ite, Itetemeshe
Ite ite, Itetemeshe
Ite ite, Itetemeshe
Ite ite, Itetemeshe

Shaghala shaghala yuko ndebe ndebe
Kafunga tela ngendembwe ngendembwe
Gwasuma hakuli anajenga na sembe
Iko kichuguu kichuguu madende

Shuka chini baby turn around
(Turn around)
Ako nayo bikini katika bounce
(Baby bounce)

My baby joro joro jeje
Nipandishe farasi nibebe
Nyuma niku-follow follow ilete
Napiga mwendo kasi niwe kiwete

Kwake macho yamenitoka
Fundi saa nimepoteza nati
Ayee msumari ghorofani
Kakanyaga mkandarasi

Ite ite, Itetemeshe
Ite ite, Itetemeshe
Ite ite, Itetemeshe
Ite ite, Itetemeshe

Unavyokata taratibu
Akili yangu unaiharibu
Unaiweka juu ya majaribu
Baby je unavyokatika

Nionyeshe mambo unafungwa ngomani
Hivi baby pungua kwa nani
Viuno vya baikoko vya darasani
Hatujui koko mpira kambani

Itetemeshe, Itetemeshe
Itetemeshe, Itetemeshe

Ite ite, Itetemeshe
Ite ite, Itetemeshe
Ite ite, Itetemeshe
Ite ite, Itetemeshe

Fanya kama unapadisha mashetani
Chomeka juu chapa kama gun (Twerk)
Viuno Zenji, Tanga pangani (Twerk)
Kama vile unazungusha usukani (Twerk)

Bob Junior Itetemeshe Lyrics English Translation