Brown Mauzo – Like You Lyrics

Brown Mauzo Like You Lyrics

Brown Mauzo – Like You Lyrics

Like You Lyrics by Brown Mauzo

Penzi lako mizani halipimiki
Wife material sio wa kiki
Wengine ni mawe we ndo keki
Niliwapita kwa kasi kwako breki

Uko nami, niko nawe
Nifate nini kwingine
Tandika tulale
Bandika zibane

My love niteke, nideke
Waseme kwake nimerogwa
Nibebe niogeshe

Nobody like you, like you, like you
Kwa uzuri wako, uko juu , uko juu
Nobody like you, like you, like you
Kwa uzuri wako, uko juu , uko juu

Kuna wakati ninawish
Tuwe wote dunia hii
Na kesho peponi
Walai hukumiss
Nikiwa kitandani na wewe jikoni

Miguu puncture kwao siendagi
Wala sisongeangi
Ukitajwa moyo hudunda
Na mwili husisimka

Mi nawe pacha
Ona tunaendana hadi tunafanana
Usijeniacha

Niteke, nideke
Waseme kwake nimerogwa
Nibebe niogeshe

Nobody like you, like you, like you
Kwa uzuri wako, uko juu , uko juu
Nobody like you, like you, like you
Kwa uzuri wako, uko juu , uko juu

Aah jujujuju baby do me juu juu
Mmmh zuu zuu zuu, mi kwako zuzu
Aah jujujuju baby do me juu juu
Mmmh zuu zuu zuu, mi kwako zuzu

Ihaji juju, mama juju, ya juju
Do me juju, do me juju
Mama juju, Ihaji, juju, Msasa juju
Do me juju, do me juju

Written by; Brown Mauzo
Released date; 9 February, 2021

Brown Mauzo Like You Lyrics