Brown Mauzo – Nachechema Lyrics

Brown Mauzo Nachechema Lyrics

Brown Mauzo – Nachechema Lyrics

Brown Mauzo Nachechema Lyrics

Hey hey honey
Wengi wajiuliza ulinipa nini
Upendo namba moja sio sufuri
Mie kwako mtoto nideke

Ukiona naanguka nibebe
Oooh oooh

Mchana tunagombana
Usiku tunapatanaga
Na vile unanipendaga
Ooh mama yote nishasahau

Nimekupa moyo wangu
Kama zawadi
Na nitaituza heshima yako
We ni mali yangu

Nimekupa moyo wangu
Kama zawadi
Na nitaituza heshima yako
We ni mali yangu

Nimenasa sibanduki babe
Na nimekita sifurukuti lady
Mmmh yeah nachechema

Hatua moja na mbili ya tatu sisogei (Nachechema)
Oooh baby bila wewe sijiwezi mama (Nachechema)
Hatua moja na mbili ya tatu sisogei (Nachechema)
Oooh baby bila wewe sijiwezi mama (Nachechema)
Mmmh mmmh mmmmh (Nachechema)

Wanaona wivu hawataki niwe na wewe
Na watajijiju dua za kuku hazipati mwewe
Sie twala mbivu wacha wao waumie
Wamelipata jibu habari zetu ziwafikie

Wewe ukitoka niko nyuma
Wivu ndo mapenzi kukuchunga
Ujue mi mwenzako ushanifunga
Cherrie eeh eeh

Nimenasa sibanduki babe
Na nimekita sifurukuti lady
Mmmh yeah nachechema

Hatua moja na mbili ya tatu sisogei (Nachechema)
Oooh baby bila wewe sijiwezi mama (Nachechema)
Hatua moja na mbili ya tatu sisogei (Nachechema)
Oooh baby bila wewe sijiwezi mama (Nachechema)
Mmmh mmmh mmmmh

Nimekupa moyo wangu
Kama zawadi
Na nitaituza heshima yako
We ni mali yangu

Nimekupa moyo wangu
Kama zawadi
Na nitaituza heshima yako
We ni mali yangu

Written by; Brown Mauzo
Released date; 3 November, 2020

https://www.youtube.com/watch?v=k2obp2HLqtI