Chege – Burudani Lyrics

Chege Burudani Lyrics
Chege – Burudani Lyrics

Burudani Lyrics by Chege

Vita vya mziki ni vikubwa ila ni vyepesi
Endapo tutaujenga umoja vitashinda kesi
Uzuri wa kutompenda ndela vya sawa, sio sawa
Bendera ya kutompenda sura sio sawa, sio sawa

Teteeni brand zenyu zisishuke
Ukiwa juu walo chini wakumbukeni
Nyimbo zenyu zisimame kwenye top 10
Yote sawa

Natamani Diamond asishuke
Atetee walo chini wasichoke
Natamani Alikiba azidi ng’aa
Nyota yake isimame kishujaa

Team Kiba wampost Mondi
Team Mondi wamposti Kiba
Konde Gang wampost Mondi
Kiba wampost jeshi

Tuchanganye majina (Sawa)
Wote tukapate kadinner (Sawa)
Tushare safina (Sawa)
Mradi tunapata burudani (Sawa)

Tuchanganye majina (Sawa)
Wote tukapate kadinner (Sawa)
Tushare safina (Sawa)
Mradi tunapata burudani (Sawa)

Napiga magoti naomba
Kesho wasipotee Temba
Yametimia mengi tulopanga
Na bado tunapambana

Itakuwa sio sawa nikimuona Dogo Janja
Ametoka MMB, sio sawa sio poa kwa Madee

Mziki wanabebaga presenters
Utofauti haina haja ya kuleta
Haina haja ya kuchanana mikeka
Mtafanya wasanii tutateseka

Natamani vunja bei wasishuke
— siku wasidondoka
Natamani Aslay azidi ng’aa
Nyota yake isimame kishujaa

Shishi gang wampost Snura
Team Snura wampost Shishi
Manfongo wampost Sholo
Team Sholo wampost Fongo

Tuchanganye majina (Sawa)
Wote tukapate kadinner (Sawa)
Tushare safina (Sawa)
Mradi tunapata burudani (Sawa)

Tuchanganye majina (Sawa)
Wote tukapate kadinner (Sawa)
Tushare safina (Sawa)
Mradi tunapata burudani (Sawa)

Oooh, mchaka mchaka
Tuungane pamoja, mchaka mchaka
Mbwana Samatta,  mchaka mchaka
Mwakinyo, mchaka mchaka
Ooh ma Djs,  mchaka mchaka
Producers,  mchaka mchaka
Ooh Bongo tuna amani tu

Hakuna wanjanja, hakuna wanjanja
Hakuna wanjanja, hakuna wanjanja
Hakuna wanjanja, hakuna wanjanja
Hakuna wanjanja, hakuna wanjanja

Written by; Chege
Released date; 14 January, 2021

Chege Burudani Lyrics

    Lyrics Knowledge:
  • Written by:
  • Album:
  • Released: