
Christian Bella Alenda Lyric Video
Imwa mwanangu
Natamani ungejua yaliyokuwa moyoni mwangu
Au ungekuwa dirisha nifungue kichuna changu
Ona jinsi ni gani nakuzimia
Imwa mwanangu
Penzi lako faraja napokuwa na mawazo tele
Na unanisahaulisha machugu yangu
Na najiona mpya kichuna changu
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Mama yeah, no no no no aah
Wasikuvute kwa maneno ya kinazi
Ukanichukia ukanivua vazi
Mapenzi zuri ila watu wawili
Wa tatu tukiongeza atatia shubiri
Atamani tuachane michuzi kafiri
Nimetosheka na wewe kichuna changu
Imwa mwanangu
Natamani ungejua yaliyokuwa moyoni mwangu
Au ungekuwa dirisha nifungue kichuna changu
Ona jinsi ni gani nakuzimia
Imwa mwanangu
Penzi lako faraja napokuwa na mawazo tele
Na unanisahaulisha machugu yangu
Na najiona mpya kichuna changu
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Alenda, alenda
Written by; Christian Bella
Released date; 21 December, 2020

