Diamond Platnumz Holiday Lyrics

S2Kizzy Baby

Aye
Wetin I do today
Wapi zinachomwa crate
Wetin I do today
Wapi tuna celebrate
Wetin I do today (Oh)
Wapi zinachomwa crate
Wetin I do today
Wapi tuna celebrate (Ah)

Kwanza Bwana asifiwe, Halleluyah!
Tulio uona mwaka, happy new year!
Kula pombe mpaka panda juu ya-
Meza ucheze, chezea juu
Leta msosi jiachie kula
Maisha yenyewe vuvula
Wanga ni wengi wa kuchura
Na hatuijuwi kesho

It’s a holiday
Yaani holiday
It’s a holiday
Yaani holiday
Holiday
(Instrumentals)
Holi, holi-, holiday
Holi, holi-, holiday

Hata nikisema nijichange
Sijui mwaka gani nitajenga hicho kibanda
Mwisho nije kufa bora nijipe raha
Kuliko kuzichanga
Na mapenzi mtanange
Hayanaga fadhila
Hata uwe umejipanga
We una gharamikia na kuna baharia
Anakula bure, mwamba

Oh, yaani
Mauzauza (Eeh)
Mauzauza (Oh)
Mauzauza
Mapenzi mauzauza (Eeh)
Mauzauza (Oh)
Mauzauza (Eh-eh-eh)
Mauzauza
Mapenzi mauzauza

Kwanza Bwana asifiwe, Halleluyah!
Tulio uona mwaka, happy new year!
Kula pombe mpaka panda juu ya-
Meza ucheze, chezea juu
Leta msosi jiachie kula
Maisha yenyewe vuvula
Wanga ni wengi wa kuchura
Na hatuijuwi kesho

It’s a holiday
Yaani holiday
It’s a holiday
Yaani holiday
Holiday
(Instrumentals)
Holi, holi-, holiday
Holi, holi-, holiday

Huyu Zombie jama Zombie
Zombie ana karaha
Zombie ana sifa
Zombie ana balaa
Huyu Zombie jama Zombie (We Zombie)
Zombie ana karaha (Haujui)
Zombie ana sifa
Zombie ana balaa
Huyu Zombie nyie Zombie (Mama)
Huyu mwana ana balaa
Ka Zombie kana sifa
Zombie ana balaa
Huyu Zombie jama Zombie (We Zombie)
Zombie ana karaha (Haujui)
Zombie ana sifa
Zombie ana balaa

Ka Mix Lizer