Edith Wairimu Wakati Wangu Lyrics (feat. Young Qualifiers), Edith Wairimu My Time Lyrics, Edith Wairimu Wakati Wangu My Time Lyrics

Wakati wa kubarikiwa ni sasa
Wakati wa kuinuliwa ni sasa
Wakati wa kujenga tena, ni sasa
Wakati Mungu amesema ni sasa

Kuna wale wazee, Ezekieli anavyosema
Wanaokaa malangoni mwa nyumba ya Bwana
Watungao maovu, na mashauri mabaya
Wakisema siku ya kujenga nyumba si sasa

Wakati wangu ni sasa
Nakataa! Roho ya kizuizi
Nakataa! Mashauri mabaya
Nakataa! Unabii wa uongo
Nakataa! Roho ya ulaghai

Watu wanapolia, uchumi ni mbaya
Pesa nazo hakuna, mimi nitafanikiwa
Maana mwenye haki, huishi kwa amani
Wakisema siku ya kuinuliwa si sasa

Wakati wangu ni sasa
Nakataa! Kupoteza imani
Nakataa! Mifumo ya kushindwa, mimi
Nakataa! Roho ya umasikini
Nakataa! Mimi kuwekwa chini

Wakati wangu ni sasa
Nakataa! Roho ya kuchelewa, eh hapana
Nakataa! Laana ya kizazi
Nakataa! kujithamini chini
Nakataa! Kujiona mnyonge
Nakataa! Kushindwa na magonjwa
Navunja! Laana za aina
Nakataa! Kifo cha mapema, la hasha, hapana
Nakataa! Roho ya kukataliwa

Wakati wa kubarikiwa ni sasa

Edith Wairimu Wakati Wangu Lyrics In English Translation

The time of blessings has come
The time of lifting up is now
The time of rebuilding has come
The time that God has proclaimed is now

There are those elders, as Ezekiel says
That sit at the gates to the House of the Lord
They concoct evil and bad advice
Saying that the time to build the house is not now

My time is now
I refuse the spirit of barriers!
I refuse the bad advise
I refuse the prophesies of lies
I refuse the spirit of fraud

When people cry out because of bad economy
Even when there is no money, I shall succeed
For the righteous live by faith
When others say the time to be lifted has not yet come

My time is now
I refuse to lose my faith
I refuse the systems of defeat
I refuse the spirit of poverty
I refused to be put down

My time is now
I refuse the spirit of delay
I refuse the generational curses
I refuse to put myself down
I refuse to see myself as weak
I refuse to be defeated by sickness
I break all the curses
I refuse early death, no! Never!
I refuse the spirit of rejection

The time of blessings is now