
Gin Ideal Sare Lyrics
Nimekuchagua wewe
Nimekuchagua wewe ahaa
kwa wazazi nikupeleke
Kwa wazazi nikupeleke ahaa
Baby here we go
One plus one we are equal
Selfless bila ego
I’m so much in love na maringo
Ona vile love ime germinate
Mungu akanipa wewe kama blessing
Familia nayo imevalidate
Ona sasa watu wana witness
Ahaa nimekuchagua wewe
Nimekuchagua wewe ahaa
kwa wazazi nikupeleke
Kwa wazazi nikupeleke ahaa
Ahaa nimekuchagua wewe
Nimekuchagua wewe ahaa
kwa wazazi nikupeleke
Kwa wazazi nikupeleke ahaa
Mapenzi yangu ni sare, sare, sare
Mahaba yangu ni sare, sare, sare
Na roho yangu ni sare sare sare
Na roho yangu ni sare sare sare
I am not only sawa
Unafanya nang’aa
There is no girl like me
Pete nimeshavaa wanipatia furaha
I’m gonna give you all of me
Ona vile love ime germinate
Mungu akanipa wewe kama blessing
Familia nayo imevalidate
Ona sasa watu wana witness
Ahaa nimekuchagua wewe
Nimekuchagua wewe ahaa
kwa wazazi nikupeleke
Kwa wazazi nikupeleke ahaa
Ahaa nimekuchagua wewe
Nimekuchagua wewe ahaa
kwa wazazi nikupeleke
Kwa wazazi nikupeleke ahaa
Mapenzi yangu ni sare, sare, sare
Mahaba yangu ni sare, sare, sare
Na roho yangu ni sare sare sare
Na roho yangu ni sare sare sare
Ee nyumba ya mware witu
Igititwo na ithaje
Ina isuthe cia ng’ombe
Ee nyumba ya mware witu
Ee nyumba ya mware witu
Igititwo na ithaje
Ina isuthe cia ng’ombe
Ee nyumba ya mware witu
Mapenzi yangu ni sare, sare, sare
Mahaba yangu ni sare, sare, sare
Na roho yangu ni sare sare sare
Na roho yangu ni sare sare sare
Mapenzi yangu ni sare, sare, sare
Written by; Gin Ideal
Released date; 21 November, 2020
Album/EP; Gin and Tonic