Harmonize – Amelowa Lyrics

Harmonize Amelowa Lyrics

Hiyo miinamo huko nyuma
Yaliyomo yamo eeeh
Binti wa makamo come closer
Na give me some more
Kama tunda lilimshinda
Adamu akashindwa kuvumilia
Sa kwanini tuitane binamu
Na nyongo itatumbukia
Ulimi ukipitiliza kunanimaliza
Mwenzako bado najiuliza
Hivi ni kweli ama tunaigiza

Moyo umezama kwake bila
Yeye siwezi toboa
Mi ndo fundi wa raha zake
Natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa
Kushoto kwenye gia
Zikanipanda hisia na
Nilipochuchumia maji yakatoka

Amelowa, amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua,
Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua

Uuuh aaah ameniweka kwenye
Chupa ndo maana natamba,
Uuuuh aaah kwenye papara
Pupa nawona washamba
Jeupega mwanao wenye
Kwilejakuloa jejikukila mwanau
liduvalipapa ukakaukyilamba
Liduvalipamba ukakaukakyilamba

Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto
Kwenye gia zikanipanda hisia
Na nilipochuchumia maji yakatoka

Amelowa, amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua

Ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
Kwenye papara pupa nawona washamba
Alinikumbatia mkono wa kushoto
Kwenye gia zikanipanda hisia
Na nilipochuchumia maji yakatoka amelowa

Harmonize Amelowa Lyrics English Translation

Those bends in the back
The contents are there
Middle-aged daughter come closer
And give me some more
As the fruit overcame him
Adam couldn’t bear it
So why should we call each other cousins?
And the gall will fall
Excessive tongue wears me out
My partner is still wondering
Is this true or are we pretending?

The heart is sunk to him without
He can not pierce
I am the master of his pleasures
Natwanga and I will release you
He hugged my hand
Left in gear
They made me emotional and
When I sucked water came out

He is wet, he is wet, he is wet with rain
Wet, wet, drenched in rain,
The child is wet, wet, wet with rain
He’s wet, he’s wet, he’s been rained on

Uuuh aaah he has put me on
The bottle is why I dance,
Uuuuh aaah in patience
Pupa I see farmers
Give your son a gift
Kwilejakuloa jejikukila son
liduvalipapa ukakaukaukyilkiyil
Liduvalipamba ukaukakyilamba

My heart has sunk to him without him I can’t break through
I am the master of his pleasures, I am liberating you
He hugged my left hand
On the gear, I got emotional
And when I sucked water came out

He is wet, he is wet, he is wet with rain
He’s wet, he’s wet, he’s been rained on
The child is wet, wet, wet with rain
He’s wet, he’s wet, he’s been rained on

He put me in a bottle, that’s why I’m crawling
I see peasants in Papara pupa
He hugged my left hand
On the gear, I got emotional
And when I sucked water, he was wet

    Lyrics Knowledge:
  • Written by: Harmonize
  • Album: Amelowa
  • Released: 2022