
Harmonize Jeshi Lyrics
Sometimes what you dream
Can be deceiving
Na huwezi kuvuna usichokipanda
Thanks God for giving
Ghetto sikuwa na umeme wala cable
Hizi moja T-Shirt na yebo
Ati leo namiliki lebo
Lebo, Konde Gang lebo
Konde boy Jeshi!, Jeshi!
Konde boy Jeshi!, Jeshi!
Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi!
Koncde boy Jeshi!, Jeshi!
Konde boy Jeshi!, Jeshi!
Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi!
Siku zote kisicho kuua
Kitakufanya uwe ngangari
Ata mwanga huwezi kumjua
So ishi nao kwa tahadhari
One love kwa wanangu wa Insta
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidii
Three love kwa mastaa
Zilifanya hasira zizidi
Four njia ngumu nilizopita
Mkanipa na jina mkasema nitwe (Jeshi!)
Jeshi!
Konde boy Jeshi!, Jeshi!
Konde boy Jeshi!, Jeshi!
Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi!
Jeshi!
Konde boy Jeshi!, Jeshi!
Konde boy Jeshi!, Jeshi!
Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi!
Mi naamini Mungu yupo tena
Naongea nae japo sisikii sauti yake
Nikianguka ntainuka tena
So usishangae why Tembo anahustle peke
yake
CozI know, unapokiokota
Ndo wakati wakukitunza
Ili kesho kisije potea
Na unaposota ndo Wakati wa kujifunza
Ili ujue wapi ulipo upo
Sio kama siwezi kujibizana
lla mwenzenu nimeumbwa na subira
Ona madili yanavyogogana
Coz nina nyota ya Libra
Siwaoni walotumwa kunitukana
Vichwa vyao kimya
Tena siku hizi siimbi sanc
Wacha washindane na lbrah
One love kwa wanangu wa Insta
Nyle ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidii
Three love kwa mastaa
Zilifanya hasira zizidi
Four njia ngumu nilizopita
Mkanipa na jina mkasema niitwe (Jeshi!)
Jeshi!
Konde boy Jeshi!, Jeshi!
Konde boy Jeshi!, Jeshi!
Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi
Jeshi!
Konde boy Jeshi!, Jeshi!
Konde boy Jeshi!, Jeshi!
Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi!
Written by; Harmonize
Produced by; Hunter
Released date; 10 August, 2020
