Ibraah Uhakika Remix Lyrics (feat. Zuchu)
Its Cukie Daddy
Its Chinga
Naima tena mapenzi
Eeh, ooooh
Aaaah, eeeeh
Ukubwa ndioo, umri wangu uuuh
Ila mapenzi yako yananirudisha utoto utotoni
Upendo wa dhati ndio, dhumuni langu uuuh
Nikuimbie tenzi ukisikia baridi nikupe joto “joto” aah eeeh
Chonde tulia na mimi, na siunajua mapenzi pesa hapa mjini
Nawe ukiwa wakupita kuchovya sitoamini
Na ukiniacha sijui kama nitapenda tena mimi
Aaaah, eeeeh
Kama siku ukienda mbali nami nitaumia
Sizani kama nitaweza kulala asa nitawezaje kusinzia
Zipu usimfungulie jirani tuliaa
Hata mkiyafanya kwasiri ndani nje watasimulia
Nitaumia
Shida sinaa, uhakika kama unanipenda babe
Kweli? Hivi nikweli?
Unanipenda kweli?
Sinaa, uhakika kama unanipenda babe
Kweli? Hivi nikweli?
Unanipenda kweli?
Unanipenda kweli?
Sina uhakika
Sijui
Aaaah, eeeeh
Nakama ikitokea ukaniacha naumivu utayonipa wee hayaelezeki
Nitateseka mi siwezi kufake nitaumia, nitaumia
Nakama ikitokea ukapata unaehisi anaenda na wewe
Na ukaniacha mwenyewe hayaelezeki
Nitateseka mi siwezi kufake nitaumia
Nitaufunza moyo kuvumilia kwa mengi
Chunga tamaa macho yanaona mengi
Popo mbili zavuka mto hizoo
Ukienda mbali nawe unanitafutia matatizo
Siku ukienda mbali nami nitaumia
Sizani kama nitaweza kulala asa nitawezaje kusinzia
Zipu usimfungulie jirani tuliaa
Hata mkiyafanya kwasiri ndani nje watasimulia
Nitaumia
Shida sinaa, uhakika kama unanipenda babe
Kweli? Hivi nikweli?
Unanipenda kweli?
Sinaa, uhakika kama unanipenda babe
Kweli? Hivi nikweli?
Unanipenda kweli?
Its Chinga
Its Chinga again

