
Jay Melody Chini Lyrics
Chini chini
Mmmmmmh mmmmmmh
Ona nakupenda sana usije nipanga
Kama nyanya ukaniita tu mi
Sina maana ukanichezesha
Mchana mchana
Ila wewe nipeleke utakavyo
My mi ziwezi kubisha kwa lolote
Kwa wingine acha nijidai
Kwako nijiinamie koloo
Written by; Jay Melody
Released date; 28 October, 2020
- Written by:
- Album:
- Released: