Jux – Nisiulizwe Lyrics

Jux Nisiulizwe Lyrics

Yo yo, you’re so fine
Babe (Hey)
I do this for you
Aah ah, Mmmh

Nahisi, Niko kwenye njozi
Huba limenikolea, Kuamka sitamani (Yee)
Tena nakusihi, Ulilinde penzi
Mwenzako nimenogewa, Hoi tahabani (Hoi tahabani)
Na hata nikiumwa, We ndo unanitibu
Wangu daktari
Kukupenda, Ni wajibu
Nisiulizwe maswali
Baby, Nipe taratibu
Huo utamu asali
Kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe no no!

Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Sababu I Love You
Eeeh
I Love You
Mmmh

Naanzaje kukucheat, nakifata kipi ?
Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti
Tena umewaacha mbale, Ulipo we hawafikii
Maombi yangu toka kale, Nimepata rafiki (Mmmh)
Na hata nikiumwa, We ndo unanitibu
Wangu daktari
Kukupenda, Ni wajibu
Nisiulizwe maswali
Baby, Nipe taratibu
Huo utamu asali
Kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe no no!

Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Sababu I Love You
Eeeh
I Love You

    Lyrics Knowledge:
  • Written by: Jux
  • Album: Nisiulizwe
  • Released: 2024