Lava Lava – Ipekeche Lyrics

Lava Lava Ipekeche
Lava Lava – Ipekeche Lyrics

Lava Lava Ipekeche Lyrics

(Ayolizer)

Eh! Baby ama kweli umefundwa unyago (Unyago)
Mungu amekupea you too fine oo, yeah
Na vichuchu tokwa peli, huko nyuma minado (Nado)
Nyonga inabembea yeaah

Your love baby gon take me higher (Higher)
Nakuwa katoto yayo (Yayaya)
I swear you are my desire (Desire o)

Sa nipe za migando, yaani gendere
Viuno mgando, ndani segere
Nikuvute kando, nikuchumishe tembele
Nionyeshe mambo, watingishaje wezere

Sa ipekeche, ipekeche
Ipekeche, ipekeche
Ipekeche, ipekeche
Baby show me I wanna see you dancing

Ipekeche (Peke), ipekeche (Peke)
Ipekeche (Peke), ipekeche (Peke)
Ipekeche (Peke), ipekeche (Peke)
Ipekeche (Peke), ipekeche (Peke)

    Lyrics Knowledge:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: