
Maandy Sicheki Lyrics
Yooh
Kabaya
Me sicheki kabaya
Me sicheki round hii mm sicheki
Dagoo seti trao ndani westi
Kuzipendi money ikiwa me hufanya za Imenti
Ka n mechi we play ruff akuna friendly
Me sicheki round hii me sicheki
Dagoo seti rao ndani westi
Kuzipendi money ikiwa me hufanya za Imenti
Ka n mechi we play ruff akuna friendly
Me sicheki
Ambia promoter nadai macenti
Mm silewi mboka iko fiti siteti
Kabaya mdelii wambie mm n jet lee
Ama tyson anadai chongwa na sauti ya Brighton
Written by; Maandy
Released date; 11 November, 2020