Madini Classic – Dayana Lyrics

Madini Classic Dayana Lyrics

Madini Classic – Dayana Lyrics

Madini Classic Dayana Lyrics

Dayana, dayana, dayana
(It’s Jessie on the beat)
Handsome

Mtoto rangi ya benki
Ona sura si kudadeki
And I know baby you make me feel like this
Kila time unanigidigidi roho imake

Sio kwamba sijaona wazuri zaidi yako
Sio kwamba sijawakata ni mahali unanitekenyaga
So baby give me handshake
Mi ni kama melody ya dancing

Written by; Madini Classic
Released date; 14 November, 2020

Dayana Lyrics Madini Classic