Mocco Genius – Hello Lyrics

Mocco Genius Hello Lyrics

Nisipokuona siku moyo juu juu (juu)
We fundi wa kunipeaga nipe mimi tu
Kukupendelea
Kwangu ni wajibu
Na nisipoelewa
We ndo langu jibu
Sijazizoea raha za ajabu
Kama umenipa pombe nimezima fofofo (hello)

Hallo
Mimi mwenzako naona kama mapenzi yako ndio peponi
Mimi mwenzako naona kama mapenzi yako ndio peponi

Hello hello heelloo
(Hello hello)
Hello hello helloo
(Hello hello)
Naongea na wewe mpenzi wangu hello
(Hello hello)
Nina kuimbia wewe mpenzi wangu hello
(Hello hello)

Mahi diha wangu
(Ninyooshe)
Nahi sia zangu
(Uzipoze)
Sihofii tena mapenzi
Mnazi umepata mkwezi iii
Nyumba imepata mkazi
Wakunifuta machozi ni wewe hello

Mimi mwenzako naona kama mapenzi yako ndio peponi
Mimi mwenzako naona kama mapenzi yako ndio peponi

Hello hello heelloo
(Hello hello)
Hello hello heelloo
(Hello hello)
Naongea na wewe mpenzi wangu hello
(Hello hello)
Nina kuimbia wewe mpenzi wangu hello
(Hello hello)

Na hii
Ndo kwanza ya pili
Mama kompa kompa kompa
Wewee hukuu njoo
Tika tika tika tika
Leo michezo ya kompaa

    Lyrics Knowledge:
  • Written by: Mocco Genius
  • Album: Hello
  • Released: 2024