Nay Wa Mitego – Go Baba Lyrics

Nay Wa Mitego Go Baba Lyrics
Nay Wa Mitego – Go Baba Lyrics

Go Baba Lyrics by Nay Wa Mitego

Go Baba, Go Baba, Go Baba
Go Baba, Go Baba, Go Baba
Go Baba! (Free Nation)

Maisha ya mama ndo yamenifanya nipo juu mpaka leo
Usiponisikia redioni kwenye banda la video
Bodaboda bajaji kitaani mi ndo rais wao
Na leo nawalaza nje si nina funguo zao

Rais kamanda kipenzi cha wana
Mademu hawaaminiki no no wamesaliti chama
Au mnasema aje masela (Go Baba)
Tuuze nchi tugawane mahela (Ndio Baba)

Kwenye show zao wao kiingilio si ni bure
Kwenye show zangu mimi kiingilio kile kile
Okay sijawai kuogopa (Ndio)
Japo napingwa (Ndio)

Nasema sihami nchi na wala siachi kuimba (Ndio)
Mnaniona kichaaa, nishakamata rungu
Raundi hii mpaka mashoga mtajifungua kwa uchungu
Ni baba Yaga, rais wa masela kitaa
Na wanangu tumeshibana kama mlevi na baa

Go Baba, Go Baba, Go Baba
Go Baba, Go Baba, Go Baba
Go Baba, Go Baba, Go Baba
Go Baba, Go Baba, Go Baba

Naona kama sauti yangu haiko freshi hivi
Hebu nipe maji nipoze koo kidogo
Alafu tuone itasound vile, au sio twende!

Go eeh, go eeh, go eeh
Go eeh, go eeh, go eeh
Go eeh, go eeh, go eeh

Ni– gabana ba varangani
Nataka niwaonyeshe mi na wao hatuendani
Hatupigi mke bwana tunapiga pesa
Akichepuka anayechepuka ya nini ufe na presha

Hii ndo Bongo bana ujinga ndo unapewa nafasi
Shule haiwezi trendi kwa kukosa madawati
u mnasema aje masela (Go Baba)
Tuuze nchi tugawane mahela (Ndio Baba)

Go Baba, Go Baba, Go Baba
Go Baba, Go Baba, Go Baba
Go Baba, Go Baba, Go Baba
Go Baba, Go Baba, Go Baba

Go eeh, go eeh, go eeh
Go eeh, go eeh, go eeh
Go eeh, go eeh, go eeh

Written by; Nay Wa Mitego
Released date; 6 January, 2021

Nay Wa Mitego Go Baba Lyrics