Northlando – FiFi Ndege Lyrics

Northlando FiFi Ndege Lyrics

Northlando – FiFi Ndege Lyrics

Northlando FiFi Ndege Lyrics

Farasi kongoriko, farasi kongoriko
Farasi kongoriko, kongoriko, kongoriko
Fifi, fifi ndege, fifi fifi ndege
Fifi fifi ndege, kuja unibebe juu kama ndege

Nimekam kukuteka niko area
Stingo zote leo my dear
Breaking at the rules
Leo hakuna sheria

Generator huku nyuma nina light
Kukivigo macho zote
Kwako boychild atavunja shingo eey

Vile umeweza beib oka kahora
Macho cute pia naona
Wanafanya chizi bila pesa unachora
Ninakuita booty bang
Ndo nionyeshe I surrender
Tuirio kwanza twega
Tuido mi napenda
Haya bas twende twende
Ni tuthie ni tuthie, gang gang

Fifi si free free Jenga
Fiti ka ni feel free kwa bash
Fikia ako anafika mbeca
Mi ni kaqueen niko juu kama ndege

Ati hadai b kama sio Nimo
Ati hadai kama mimi siko’
Ati hubigwaga tu kwenye beast mode
Mi ni kaposh I flight in the know my babe

Farasi kongoriko, farasi kongoriko
Farasi kongoriko, kongoriko, kongoriko
Fifi, fifi ndege, fifi fifi ndege
Fifi fifi ndege, kuja unibebe juu kama ndege

Written by; Northlando
Released date; 12 November, 2020

FiFi Ndege Lyrics by Northlando