Octopizzo – Zambe Lyrics

Octopizzo Jungle Fever Album Lyrics

Octopizzo – Jungle Fever Album Lyrics

Octopizzo Zambe Lyrics

Pizzo De,
Batoto ba kenya baba,
Ba Kibera kibera Namba Nane,
Nashangaa aa aa aa aaaa
Munaumwa nikiwa na furaha ee hee
Majamaa aa aa aa aaaya
Nimewaona munakijicho

Wanataka niangamie [Iyeeeee ye ye yeeee ]
Mola niangalie
Wanataka niangamie [I yeee ee ye ye yeeee]
Mola niangalie
Wanataka niangamie [I yyeee ii ye ye yeeee]
Mola niangalie
Wanataka niangamie iyeee ii ye ye yeeee]
Mola niangalie
Mambleinaaaa aaa aaa
wameshinda kwa mangoma wanadai colabo

Pizzo de king and you know
Apana tambua zangu ni solo
Hollap hollap Pizzo de king on a dolla
Choma choma hadi Brain ina sola
Panels cartels papidon wanalola
Ola ola Ambia migos hii ndio culture
Nikitinga ni mapacha
Penda steki wapi paja
Kabla tuende seti ganja
We Zidi Buda naja

Cheza chini Cheza lo Coz ni OHANGA boss
Niko litt niko warm shikanga bong
Nashangaa aa aa aa aaaa
Munaumwa nikiwa na furaha ee hee
Majamaa aa aa aa aaaya
Nimewaona munakijicho

Wanataka niangamie [Iyeeeee ye ye yeeee I
Mola niangalie
Wanataka niangamie [Iyeee ee ye ye yeeee]
Mola niangalie
Wanataka niangamie [Iyeee ii ye ye yeeee]
Mola niangalie
Wanataka niangamie iyeee ii ye ye yeeee]
Mola niangalie

Chulo ee chulo
Pizzo de don PAPICHULO
MIO ee mlo Mbona mnadie nisikule ee
Radi na stima
Mko wazima
Wote nazima
Itaga Zima

Moto lazima Drinks kwa mama pima
Makali lazima alafu chachishaa
Buda kalisha,
Hapa kanisa Padri Itaga sister
Msho ni Father Christmas
Nashangaa aa aa aa aaaa
Munaumwa nikiwa na furaha ee hee
Majamaa aa aa aa aaaya
Nimewaona munakijicho

Wanataka niangamie [Iyeeeee ye ye yeeee ]
Mola niangalie
Wanataka niangamie [Iyeee ee ye ye yeeee]
Mola niangalie
Wanataka niangamie [Iyeee ii ye ye yeeee]
Mola niangalie
Wanataka niangamie iyeee ii ye ye yeeee]
Mola niangalie
Cheki Fiti sitishiki
Namba nane misisipi
Mshipi Fiti msupa funga belt
Nduthi gang piki piki
Liki Licking hii ni bedrock
veggie skuma kila wiki
Iliki na hi muziki
Ngoma safi bila kiki
Wanaume wanafiki

Level Zangu hamfikii
Marafiki marafiki marafiki wangu ee heh
Asheni ngwai asheni ngwai Tafadhali Musigwae
Marafiki marafiki marafiki wangu heh ee
Nashangaa aa aa aa aaaa
Munaumwa nikiwa na furaha ee hee
Majamaa aa aa aa aaaya
Nimewaona munakijicho

Wanataka niangamie [iyeeeee ye ye yeeee ]
Mola niangalie
Wanataka niangamie [iyeee ee ye ye yeeee]
Mola niangalie
Wanataka niangamie [iyeee ii ye ye yeeee]
Mola niangalie
Wanataka niangamie iyeee ii ye ye yeeee]
Mola niangalie

Written by; Octopizzo
Released date; 20 November, 2020
Album; Jungle Fever Album

Zambe Lyrics Octopizzo