Instructions Lyrics by Paul Maker
Nilianza mimi ndo wengine wakafuatia
So utaponiona popote ba mdogo amkia
We si unachana mbona ukiniona unakimbia
Maperfomer flow zao zote zimefulia
Boom nawalipua bila petrol
Nimekaba koo ka roba za keko
Wanaimbia wenyewe ka wanapiga nyeto
Kumbe wana malaria flow mi ndo mseto
Kwanza sijawai kwa kawaida
Navoskiza ndondo la flight kama inaspit on it
Too neat yaani too fit
Utajua wewe na wenzako ka nafit in this
Oh my God, who is that wanauliza
Napita so hard kwa hili beat ni miujiza
Yaani ki rudeboy ile ki hooligan weird
Hapa ni real fake niggas don’t play near
Of course me a bad man shatta
Vipi and on washadata
Me I go, me I go kill dem suckers
Mambo yako ting tapa tapa
Follow instructions, ni maelekezo maelekezo
Haya ni maelekezo, oh
Follow instructions, ni maelekezo maelekezo
Haya ni maelekezo, oh
Follow instructions, ni maelekezo maelekezo
Haya ni maelekezo, oh
Follow instructions, ni maelekezo maelekezo
Haya ni maelekezo, oh
Written by; Paul Maker
Released date; 18 January, 2021