Zamani Lyrics by Rayvanny
Zombie ayee
(It’s S2kizzy beiby)
Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo
Unalewa leo, si tulilewa zama
Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo
Unahonga leo, si tulihonga zamani
Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo
Unadanga leo, Si tulidanga zamani
Unaringia picha zenye mafilter
Ya huko Insta
Zamani si tuliitisha
Mwendo wa kiko hakuna shisha
Shepu za kushikika
Tiktok G, ugali mchicha
Leo mnatingisha
Kumbe wachina wamejazisha
Zamani tulihonga bangili (Haiyaa)
Pini masikioni (Haiyaa)
Leo mmebadli
Mnahonga na iPhone
Vijana wengi wazembe
Wengi waongo chumbani butu
Wazee wa mudende, mara mcongo
Ale kasusu
Zamani si ndo majembe
Tena vigongo wachinja kuku
Chumbani kibembe mechi ya dondo
Hatoki mtu
Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo
Unalewa leo, si tulilewa zama
Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo
Unahonga leo, si tulihonga zamani
Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo
Unacheat leo, Si tulicheati zamani
Mmmh enzi zetu kupendeza haukusi
Suti rangi kifuu na shingoni kamjusi
Kwenye nywele za zoo nina mwaka ya urusi
Mmh kesho kakuwa juu na kigazeti cha uzushi
Zamani kuwahi kazi sio mwendo kasi
Unapanda uda
Kwenye mwenye anazo ni Taxi
Sio kurequest Uber
Madada zamani kazi kazi
Hawalewi bia leo kesho
Siku hizi vichwa panzi
Bia mbili kashafika ghetto
Zamani ni tofauti na leo
Hadi ng’ombe maradufu, ndio wanatoa mkeo
Zamani ni tofauti na leo
Ukitoa chips kuku, analegeza komeo
Vijana wengi wazembe
Wengi waongo chumbani butu
Wazee wa mudende, mara mcongo
Ale kasusu
Zamani si ndo majembe
Tena vigongo wachinja kuku
Chumbani kibembe mechi ya dondo
Hatoki mtu
Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo
Unalewa leo, si tulilewa zama
Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo
Unahonga leo, si tulihonga zamani
Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo
Unacheat leo, Si tulicheati zamani
Written by; Rayvanny
Released date; 30 January, 2021
Album/EP; Sound from Africa