
Rekles Sota Lyrics
Ni funny unadhani unachakaa
Buda kusota sidhani hajakataa
Ni funny unadhani unachakaa
Buda kusota sidhani hajakataa
(Mavo on the beat)
Ati we ni sos ukitaka unabuy
Uongo sema walai
Chocha mbona unajam
Bro umesota na na unakataa
Ati yaani hunanga mali
We hushinda umehire gari
We hushinda nini na nani
Bro umesota na na unakataa
[Mejja]
Gari ni ya shuga mummy
Keja aliomba Mwaniki
Looku aliomba jirani
Na kwa baze vile anajidai
Bazu bazu bazu
Hauna kakitu bazu wa uduu
IG chocha maisha ya juu
Caption Lamu with my boo
Lifestyle na madeni
Ni kuchotwa chotwa na benki
Wacha kupost ukichocha
Ati uko Lamu na vile umesota
Ati we ni sos ukitaka unabuy
Uongo sema walai
Chocha mbona unajam
Bro umesota na na unakataa
Ati yaani hunanga mali
We hushinda umehire gari
We hushinda nini na nani
Bro umesota na na unakataa
Written by; Rekles
Released date; 27 October, 2020
- Written by:
- Album:
- Released: