Rich Mavoko Ananipenda Lyrics

Kana madimpozi akicheka ana mwaanya,
Hana maringo hakataki kujuaana,
Penzi limenogaa chuzi biriani,

Yako inanitoshaaa, we ndio wa ubani
Mimi ni wake na ye wangu mi aahh!!
Tumeshibana kisawa sawa aahh!!
Sa kwengine mi nifuate nini aahh

Yeye tabibu ananipa dawa aahh
Yeye tabibu ananipa dawa aahh
Ananipenda nami ninampenda kweli,

Ananipenda nami nimemweka moyoni
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Ananipenda nami nimemweka moyoni

Aaahh!! Bebiii nikuite nani iwe sawa
Huniii penzi letu nyunyuzia dawa
Yeye tabibu ananipa dawa aahh

Mimi ni wake na ye wangu mi aahh!!
Tumeshibana kisawa sawa aahh!!
Sa kwengine mi nifuate nini aahh
Yeye tabibu ananipa dawa aahh
Yeye tabibu ananipa dawa aahh

Ananipenda nami ninampenda kweli,
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Ananipenda nami nimemweka moyoni