Rostam ft. Mr Blue – Watani Wa Jadi Lyrics

Rostam Watani Wa Jadi

Rostam ft. Mr Blue – Watani Wa Jadi Lyrics

Rostam Watani Wa Jadi Lyrics

Ntakesha mkichoma ubani
Mpandishe Mashetani
Mkija kanzu tobo (waa yaa)
Mpira kwapani
Sisi mabingwa nyikani
Watoto wa jangwani
Labda aje simba wa yuda
Sio nyie simba wa mbugani

Yanga acheni usela
Usela mavi vueni jezi
Vaeni dear litawapendeza ilo vazi
Soka hamuwezi tuwape kibao cha mbuzi mkune nazi
Iko wazi hamna hadna hadhi mbele ya wekundu wa msimbazi

Written by; Rostam
Released date; 4 November, 2020