Sanaipei Tande Yako
Sanaipei Tande – Yako Lyrics

Sanaipei Tande Yako Lyrics

Kila mtu na historia
Kuna waliokutangulia
Ila tu hawakujulia
Namna nafaka kunitilia

Kaja wewe wa kunidekeza
Wa kunipenda kupindukia
Kama kia ukanibeba
Wingu la tisa ukaniweka

Wanikonyezea macho
Zao jumbe fupi za ajabu
Ati niwaonjeshe kidogo
Wale wape kisogo

Mali yote ni yako (Tete tega)
Baby yako (Tete teka)
Kwani yote ni yako (Tete tega)
Baby yako

Mali yote yako
Yote yako, yote yako
Yote yako, yote yako
Piga stamp waelewe

Waelewe, waelewe
Waelewe, waelewe
Waelewe, waelewe
Waelewe, waelewe

Wengi wao walidhania
Ati ni mali nitazingatia
Natafuta pia tabia
Na zigo zito laning’inia

Kaja wewe wa kunidekeza
Wa kunipenda kupindukia
Kama kia ukanibeba
Wingu la tisa ukaniweka

Wanikodolea macho
Zao jumbe fupi za ajabu
Ati niwaonjeshe kidogo
Wale wape kisogo

Mali yote ni yako (Tete teka)
Baby yako (Tete teka)
Kwani yote ni yako (Tete teka)
Baby yako

Mali yote yako
Yote yako, yote yako
Yote yako, yote yako
Piga stamp waelewe

Waelewe, waelewe
Waelewe, waelewe
Waelewe, waelewe
Waelewe, waelewe

Hawanipati ng’o ng’o
Mimi sio soko, soko
Namba hii ya lotto, lotto
Washike kushoto waelewe

Hawanipati ng’o ng’o
Mimi sio soko, soko
Namba hii ya lotto, lotto
Washike kushoto waelewe

Tete tega, Tete tega
Tete tega, Tete tega

Mali yote yako
Yote yako, yote yako
Yote yako, yote yako
Piga stamp waelewe

Waelewe, waelewe
Waelewe, waelewe
Waelewe, waelewe
Waelewe, waelewe

Written by; Sanaipei Tande
Released date; 5 November, 2020