Sauti Sol – Rhumba Japani Lyrics

Sauti Sol Rhumba Japani Lyrics

Sauti Sol – Rhumba Japani Lyrics

Rhumba Japani Lyrics by Sauti Sol

Kuna Rhumba ya Juja
Na ni ya maboy
Ukisaka mitumba
Enda Rhumba ya Toi
Kuna Rhumba ya Kibich
Utajua hujui

Kuna Rhumba for all you niggas ila
Rhumba Japani ndio Rhumba
Kuna Rhumba ya state house iko chini ya maji
Kuna Rhumba ya bunge
Ya majambazi
Ukileta ujinga
Utalala ndani
Kuna Rhumba for all you niggas lakini
Rhumba Japani ndio Rhumba

Hapa ni wapi, tume zungukwa na shisha na shashamani, mapochopocho na vinywaji mbali mbali, wengine wanatapika wakizirai

Hapa ni wapi, wanatutwanga mapicha kipaparazi, Tumezungukwa na warembo geti kali, tunazitoka na style za kizamani

Kuna Rhumba ya Westy
Ya mabeshte
Ya mashinani
Sheki your waistii
Rhumba ni nyepesi
Isikue kesi
Kuna Rhumba for all my niggas
Ila Rhumba Japani ndio rhumba

Kuna Rhumba Karura
Ya kupanda miti
Ukiwa Koinange
Hakunaga risiti
Rhumba Oyole
Hio no ya mangwai
All of my hoes and all of my niggas
Rhumba Japani ndio Rhumba

Hapa ni wapi, tumezungukwa na mabouncer kama chuani, Kuna mapedi mapoko pia mapinji, na wanaseti michele kwenye vinywaji

Hapa ni wapi, Kuna visanga vioja mahakamani, wapenzi wapigana mate hadharani, wengine wanatekana nyuma ya taxi

Niitie Rhumba obunga
Mano mar jothurwa
Tokidwa bilo mbuta
Iriyo manyatta
Yawuoi orwaka akala
To nyiwa ondiso avunja
Kuna Rhumba for all your niggas
Lakini Rhumba Japani ndio Rhumba
Aaaaaaah Sol Generation you know
Hii shit imeniweka zone, inatamba

Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje kwa foleni, na raia wako ndani wajivinjari, wanazitoka na style ni za kiodi

Hapa ni wapi, mawochi wote wameleta utiaji, wakafungia wakubwa nje ya party, wakawachia ofisi wafanyikazi

Written by; Sauti Sol

Sauti Sol Rhumba Japani Lyrics

Sauti Sol Rhumba Japani Lyrics English Translation

There is the Rhumba of Juja
And it’s for maboy
Looking for secondhand cars
Go to the Toi Rhumba
There is the Kibich Rhumba
You will know you do not know

There is a Rhumba for all you niggas except
Rhumba Japan is Rhumba
There is a Rhumba of a state house located under water
There is a parliamentary rhumba
Of bandits
You bring a fool
You will sleep inside
There is a Rhumba for all you niggas but
Rhumba Japan is Rhumba

Here it is, commissions surrounded by shisha and shashamani, snacks and various drinks, some vomiting and fainting

Here’s where, they hit us with pictures of the paparazzi, We are surrounded by beautiful gate gates, we come out with old-fashioned styles

There’s Westy’s Rhumba
Of bestses
Local
Check your waistii
Rhumba is lighter
It should not be a case
There is a Rhumba for all my niggas
But Rhumba Japan is the rhumba

There’s Rhumba Karura
Tree planting
Ukiwa Koinange
No receipt
Rhumba Oyole
That’s a no-brainer
All of my hoes and all of my niggas
Rhumba Japan is Rhumba

Here it is, we are surrounded by bouncers like college, There are pads as well as pineapple, and they set rice on drinks

Here it is, There are squabbles in the courtroom, lovers are spitting in public, some are appearing in the back of a taxi

Niitie Rhumba obunga
Mano mar jothurwa
Leave a bill
Iriyo manyatta
Yawuoi orwaka akala
To nyiwa ondiso broke
There is a Rhumba for all your niggas
But Rhumba in Japan is Rhumba
Aaaaaaah Sol Generation you know
This shit has put me in a zone, it’s crawling

Here you are, your dignitaries are out in line, and your citizens inside are enjoying themselves, they are coming out and the style is simple.

Here it is, all the watchers have brought in the locks, locked the bosses out of the party, left the office staff