Snopa – Kabugubugu Lyrics ft. Baba Levo, Shilole

Snopa Kabugubugu Lyrics

Snopa – Kabugubugu Lyrics ft. Baba Levo, Shilole

Snopa Kabugubugu Lyrics

Kabugubugu hee, Kabugubugu hee
Alicheza Kabugubugu nayo
Kabugubugu hee, Kabugubugu hee
Alicheza Kabugubugu nayo

Shishi baby nawakimbiza daily
Nawasha mbali maili
Hawezi ziba my way, una nini wewe
Mbona unapatwa na kiwewe
Hii ngoma zito na wenyewe

Mi sisubiri niletewe
Nawachora, madanga yao nawapora
Na wanazidi kudorora
Shishi ndo mamalishe bora

Kabugubugu hee, Kabugubugu hee
Alicheza Kabugubugu nayo
Kabugubugu hee, Kabugubugu hee
Alicheza Kabugubugu nayo

Hatuongei, huniongopei
Shishi baby kaleta kiburi nimepanda bei
Sikosei, haunisogelei
Nishafika ndo baba shughuli ki Professor Jay

Mixer Shishi baby na limo boy
Twamuomba Mungu Baba atuokoe
Hii ngoma ipigwe sana na itoboe

Twende sawa (Sawa)
Wote sawa (Sawa)
Kiuno sawa (Sawa)
Shishi baby (Sawa)

Lala sawa (Sawa)
Ieke sawa (Sawa)
Guza sawa (Sawa)
Kenny Breeze (Sawa)

Kabugubugu hee, Kabugubugu hee
Alicheza Kabugubugu nayo
Kabugubugu hee, Kabugubugu hee
Alicheza Kabugubugu nayo

Kabugubugu, eeh baba
Cheza Kabugubugu, eeh baba
Kabugubugu, eeh baba
Cheza Kabugubugu, eeh baba

Kabugubugu, eeh baba
Cheza Kabugubugu, eeh baba
Kabugubugu, eeh baba
Cheza Kabugubugu, eeh baba

Written by; Snopa, Baba Levo, Shilole
Released date; 5 December, 2020

Kabugubugu Lyrics Snopa ft Baba Levo Shilole