Ssaru – Leo Lyrics

Ssaru Leo Lyrics

Ssaru – Leo Lyrics

Ssaru Leo Lyrics

Ssaru, Okwonko
(Ricco Beatz, Mr 808)

Uh daddy uko job leo nimekutolea form
Na ufike mapema nikusetie kindom
Ka umesweat kwa bafu ni maji warm
Nimekuja na form nimekuja na kathong

Okey nikifika nakwambia utaogopa
Nina mahanjam utatoroka (Wacha)
Nitakuchapa italia ka itoka
Eeeh umeniroga

Uko kwa kitanda na ni shamba unalima
Sina clothes on nina breath ya tequila
Hii nyama nawe inaonja ka vanilla
Hapa mia kwa mia je tutumie mipira?

Mi ni player kunyandua striker
Nitaichapa mpaka ipige chafya (Achio)
Nitatumia rubber ju bado nitakuchapa
Na utatoka rubber

Ssaru aah nakudai leo
Ah eti unanidai leo
Manze nitakuchapa leo
Yaani leo, leo leo

Written by; Ssaru
Released date; 13 November, 2020

Leo Lyrics Ssaru ft Mejja