Ssaru – Zitoke Lyrics

Ssaru Zitoke Lyrics

Ssaru – Zitoke Lyrics

Zitoke Lyrics by Ssaru

Nimefika na niko na kusudi
Nimekuja kukubamba nikimaliza ndo nirudi
Uskize kwa sababu huna budi
Mistari za leo nimezitoa tu Burundi

Kwanza nacheki uko moody ah
Pili napenda hio hoody ah
Ata ka we ni msee wa nduthi
Amka usakate juu uzembe ni upuzi mmh

Mpaka jasho linuke ushuzi
Ushuzi, ushuzi, ushuzi shuzi
Siku hizi mnaringa mko choosy
Choosy choosy, choosy choosy

Mpaka jasho linuke ushuzi
Ushuzi, ushuzi, ushuzi shuzi
Siku hizi mnaringa mko choosy
Choosy choosy, choosy choosy

Mpaka jasho linuke ushuzi
Ushuzi, ushuzi, ushuzi shuzi
Siku hizi mnaringa mko choosy
Choosy choosy, choosy choosy

Written by; Ssaru
Released date; 11 February, 2021

 

Ssaru Zitoke Lyrics