Wakadinali – Lockdown Lyrics

Wakadinali Victims of Madness Album

Wakadinali – Victims of Madness Album Lyrics Tracklist

Wakadinali Lockdown Lyrics

Roll like a real black man Tom Mboya, PLO Lumumba
Lockdown curfew, nyumba kumi, geri iko kwa nyumba
Is my country ndio maana 21 Savage mi huzisunda
Kaunda suit like a black ama Nyerere, PLO Lumumba

Mi hupanda bei ka irori naeza lipuka usiworry
Chupa ilimkuta na ati ana mbogi
Ukiwa mbele yetu hubongi
Full tank hapo Kobil, Tupac sai ako na Kobe
Shuka iliangushwa Baba Sofi akaona vitu hangeona usoni

In and out of Kamiti, judge alidai hakuwa na motive
Arif aligeuzwa kamisi nditni, bar zinaangushwa
Tunahepa jela kama Maina Shimoli
Siste alienda kombo, siku hizi anadunga ki-Tomboy
Tomboya street toa doh, lala chini

Jeshi ya Figtree tulitoa lock hapo Equity
Hands up 211 iko live hapo Citizen
Wardrope kila trao iko na yake
Kubwa kubwa majackets  si itos watukanje
Murder ilifanyika promoter alidai kudishi na Talent, Aje?

Roll like a real black man Tom Mboya, PLO Lumumba
Lockdown curfew, nyumba kumi, geri iko kwa nyumba
Is my country ndio maana 21 Savage mi huzisunda
Kaunda suit like a black ama Nyerere, PLO Lumumba

Roll like a real black man Tom Mboya, PLO Lumumba
Lockdown curfew, nyumba kumi, geri iko kwa nyumba
Is my country ndio maana 21 Savage mi huzisunda
Kaunda suit like a black ama Nyerere, PLO Lumumba

Juzi nilienda bash nikadate local Indian
Kibodoria sai wako hash on my social media
Mi and my shosh juzi ghetto tuliponwa rauwo
There is no evidence kumada Fidel mtoto wa Rao
Body and soul spirit iko isolated
I got no heart no Munga nafeel so corrected
In one month nilikuwa booked over seven venues
One man nilipull over kitu eleven kwenu
Me and my classmates juzi juzi tulimanouver in silence
Since kindergarten tulivunja louvers into glasses

You said kwenu mna guns it is easier said than done
Pull up in Islamabad, in Pakistan, Tehran, Iran, Afghanistan
Nilitingiwa na OCPD fuck your experience ilinitriger my OCD
Read about minding your business, 2nd Corinthians
Hiphop mimi si comedian na wala siifanyi ju ya social media

Roll like a real black man Tom Mboya, PLO Lumumba
Lockdown curfew, nyumba kumi, geri iko kwa nyumba
Is my country ndio maana 21 Savage mi huzisunda
Kaunda suit like a black ama Nyerere, PLO Lumumba

Roll like a real black man Tom Mboya, PLO Lumumba
Lockdown curfew, nyumba kumi, geri iko kwa nyumba
Is my country ndio maana 21 Savage mi huzisunda
Kaunda suit like a black ama Nyerere, PLO Lumumba

Written by; Wakadinali
Released date; 30 November, 2020
Album/EP; Victims of Madness

Lockdown Lyrics by Wakadinali