
Young Dee Daresalama Intro Lyrics
Naweza kombe la ushindi
Staki glasi la bakari
Maisha yanakwenda faster kama gari ni Bugatti
Sidanganyiki na bata nisharidhika na ugali
Nazidi kuwaacha fake Mcees na maswali
Leo ujinga kaniacha
Na uzembe kaenda mbali
Na uvivu ndo kadanja
Siku hizi hata silali
Written by; Young Dee
Released date; 12 November, 2020
