Bahati – Dear Ex Remix Lyrics ft. Mejja

Bahati Dear Ex Lyrics

Bahati – Dear Ex Lyrics

Dear Ex Remix Lyrics

Basi nifungue roho
Kwa yule wa before
Dear Ex…

Sitaki kurudia zamani
Nilikupenda sana
Ila haukuniona wa dhamani
Haukuniona wa dhamani

Sitaki kubonga mob
Nikurushie lawama
Ila roho yangu unaijua
Nilikupenda sana

Nilipokosa nisamehe
Ulipokosa nikusamehe
Na maisha yaendelee eeh

Nilipokosa nisamehe
Ulipokosa nikusamehe
Na maisha yaendelee eeh

Rafiki zangu wanaulizia, wanaulizia
Ndugu zangu wanaulizia, yule wa zamani
Haya mama anaulizia, anaulizia
Majirani wanaulizia, yule wa zamani

[Mejja]
Nimemiss sauti yako ndani ya nyumba
Nimemiss nikisanif shash na we unafunga
Nimemiss tukioga pamoja
Nimemiss ukipika mi naonja
Nimemiss familia nimemiss manzi yangu
Ulikuwa beste yangu, advice za mabeste ndo uliskia
Walikuchocha ukavunja familia but I hope
Mahali uko unafurahia

Pole bado napenda mtoto wako
Ukiwa na shida usiogope kusema
Maisha yako mi nakutakia mema

Mad yeah Kansoul anaulizia, anauliza
Mama Hadija anaulizia, yule wa zamani
Willy Tuva anaulizia, anauliza
Governor Joho anaulizia, yule wa zamani

You never took your time to know me, time to know me
You never took your time to understand
You never took your time to know me, time to know me
But loving you is all I had

Natamani siku zile, hisia zangu zinanikosea
Hata nikuone, ukiwa naye mi nawaombea
Natamani siku zile, hisia zangu zinanikosea
Hata nikuone, ukiwa naye mi nawaombea

Maina Kageni anaulizia, anaulizia
Emali Havi anaulizia, yule wa zamani
Mwakideu anaulizia, anaulizia
Ata Otile anaulizia, yule wa zamani

Ommy huruma anaulizia
Mtua anaulizia
Mama Cider anaulizia
Yule wa zamani

Kiuna anaulizia
Mwende Clemmo anaulizia
Kwtu Mathare anaulizia
Yule wa zamani

Mama mejja anaulizia, anaulizia
Kama wa Pango anaulizia
Pengting wa zamani

Written by; Bahati

Bahati Dear Ex Remix Lyrics ft Mejja

Bahati Dear Ex Remix Lyrics In English Translation

So open my soul
For the one before
Dear Ex …

I don’t want to repeat the past
I loved you so much
But you did not find me precious
You didn’t find me precious

I do not want to thank the mob
Let me blame you
But you know my soul
I loved you so much

When I was wrong forgive me
When you are wrong I forgive you
And life goes on eeh

When I was wrong forgive me
When you are wrong I forgive you
And life goes on eeh

My friends ask, they ask
My brethren ask, the former
This mother asks, she asks
Neighbors ask, the old one

[Mejja]
I missed your voice in the house
I missed nikisanif shash and we are closing
I missed bathing together
I miss you cooking and I taste it
I missed the family I missed my tears
You were my best, the best advice you ever heard
They teased you and broke up the family but I hope
The place you are enjoying

Sorry I still love your baby
If you have a problem do not be afraid to speak up
I wish your life well

Mad yeah Kansoul asks, he asks
Mama Hadija asks, the old one
Willy Tuva asks, he asks
Governor Joho asks, the former

You never took your time to know me, time to know me
You never took your time to understand
You never took your time to know me, time to know me
But loving you is all I had

I long for those days, my feelings are hurting me
Even if I see you, with him I pray for you
I long for those days, my feelings are hurting me
Even if I see you, with him I pray for you

Maina Kageni asks, she asks
Emali Havi asks, the old man
Mwakideu asks, he asks
Ata Otile asks, the old one

Ommy kindly asks
Mtua asks
Mama Cider asks
The old one

Kiuna asks
Mwende Clemmo asks
To us Mathare asks
The old one

Mejja’s mother asks, she asks
As the Cave asks
Old Pengting