Chege x Ommy Dimpoz – Show Time Lyrics

Chege Show Time Lyrics

Chege x Ommy Dimpoz – Show Time Lyrics

Chege Show Time Lyrics, Show Time Lyrics by Chege x Ommy Dimpoz

Leo si siku ya simba kuchezaa
Na mm ukinipa mwenzako nita
Wezaaa nguu juu ya kitanda
Mwingine juu ya mezaaa
Usitupe nanga utaikataaa
Kuna wengi wanaitakaaa
Kuna mwajuma kajaa

Na dera fatumaa kaja na kangaa
Na jumaa kaunga telaa kashikaa
Kamwaga shangaa shikamumeo
Mama ogopa paparazii banda la
Videoo mamaa milango ipo wazii
Cause I wana make you dancee
Awana make you dancee

Show time Show time Show time Show time

Inama shika mabegaa yote yote
Shika ipepete onyesha figaa
Ukinipa yote shikaa usibane
Kipapatio nataka kula kma kwio
Usibane kipapatio unavyo weka
Ki dona donaa ukinipa ki dona na dona donaa

Shika mumeoo mamaaa ogopa
Paparazi banda la videoo milango
Ipo wazii cause a
Wana make you dansee

Show time Show time Show time Show time

Show show time mamaa na watoto
Wa k town unabilinga bilinga byoyo
Ivyo viono paka down

Written by; Chege, Ommy Dimpoz

Chege Show Time Lyrics English Translation