Christina Shusho – Nataka Nimjue Lyrics

Christina Shusho Nataka Nimjue Lyrics
Christina Shusho – Nataka Nimjue Lyrics

Nataka Nimjue Lyrics by Christina Shusho

Nataka nimjue
Mimi nataka nimjue
Mwenzenu nataka nimjue
Oh Yesu oh Yesu oh Yesu
Hallelujah

Nataka nimjue
Mimi nataka nimjue huyu Yesu
Zaidi nataka nimjue
Mwenzenu nataka nimjue Bwana wangu

Nataka nimjue
Mimi nataka nimjue huyu Yesu
Zaidi nataka nimjue
Mwenzenu nataka nimjue Bwana wangu

I thought I knew you already lakini nimegundua bado eeh
The more I got it ndio natambua bado sijakujua
Naona surprise surprise kila leo eeh
Stahi nilona jana si kama ya leo eeh
Matendo niliyotenda jana mbona si ya leo
Everyday surprise surprise surprise ooh
Nataka nimjue
Mimi nataka nimjue
Zaidi nataka nimjue
Nimeona nimekuta pale machozi si kama hapa
Mbona nimetembelea nyumba ile si kama kwangu
Na vile nilisemesha jana si kama leo
Ishara nilizoziona jana si kama za leo

Mgonjwa alivyomponya jana si kama wa leo
Mara huyo jitwike godoro lako uende
Amani yako imekuponya
Mimi nataka nimjue
Mwenzenu nataka nimjue
Zaidi nataka nimjue
Nimjue nimjue
Nataka nimjue
Mimi nataka nimjue huyu Yesu
Zaidi nataka nimjue
Mwenzenu nataka nimjue Bwana wangu
Nataka nimjue

Mimi nataka nimjue huyu Yesu
Zaidi nataka nimjue
Mwenzenu nataka nimjue Bwana wangu
Eh Mungu kumbe jina lako jingine wewe waitwa Rejected
Ukitengwa na jamii ujue hio ni ishara yake
Ukiona mawimbi usiogope yuko ndani ya boat
Mungu hajachoshwa nawe ana mpango na wewe
Usikate tamaa usirudi nyuma ana mpango nawe
Jangwa unalopitia kumbe ana mpango nawe
Maumivu unayosikia anatengeneza chombo kipya
Adui unaowaona leo kamwe hutawaona tena
Eeh nataka nimjue
Mimi nataka nimjue

Zaidi nataka nimjue
Kumbuka mawazo ya Mungu si kama yetu
Wala akili zake si kama zetu
Si mpango wa Mungu hata mmoja apotee
Aliporuhusu ujaribu hilo alijua unaweza
Ujue lito lako lalingana na imani yako
The greater your test the greater the testimony
Eeeeah mi nataka nimjue
Nataka nimjue mwanaume huyu
Ambaye ata upepo na bahari vinamtii

Nataka nimjue
Zaidi nataka nimjue nimjue nimjue Yesu
Nataka nimjue (ooh nimjue Bwana)
Mimi nataka nimjue huyu Yesu (mwenzenu nataka nimjue Yesu)
Zaidi nataka nimjue (moyo wangu watamani nimjue tu yeye)
Mwenzenu nataka nimjue Bwana wangu
Nikujue tu wewe oh nikujue tu Bwana)

Nataka nimjue (eh nikujue Yesu eh)
Mimi nataka nimjue huyu Yesu (nikujue Bwana eh)
Zaidi nataka nimjue (nina kiu nawe nikujue zaidi)
Mwenzenu nataka nimjue Bwana wangu (eh nikujue Bwana)
Nataka nimjue
Yesu
Mwenzenu nataka nimjue
Bwana wangu

Nataka nimjue (nimjue nimjue Bwana wangu)
Mimi nataka nimjue huyu Yesu (eeh nimjue Baba we Baba we)
Zaidi nataka nimjue (zaidi zaidi zaidi zaidi)
Mwenzenu nataka nimjue Bwana wangu (zaidi Bwana nikujue)
Nataka nimjue
Mimi nataka nimjue huyu Yesu (Bwana nikujue wewe)
Zaidi nataka nimjue (mimi nikujue)
Mwenzenu nataka nimjue Bwana wangu (Bwana nataka nikujue)

Written by; Christina Shusho

Christina Shusho Nataka Nimjue Lyrics

Christina Shusho Nataka Nimjue Lyrics English Trenslation

I want to know
I want to know
I want you to know
Oh Jesus oh Jesus oh Jesus
Hallelujah

I want to know
I want to know this Jesus
More I want to know
I want you to know my Lord

I want to know
I want to know this Jesus
More I want to know
I want you to know my Lord

I thought I knew you already but I found out yet eeh
The more I got it the more I realize I still don’t know
I see a surprise every day eeh
The deck I saw yesterday is not like today eeh
The deeds I did yesterday why not today
Everyday surprise surprise surprise ooh
I want to know
I want to know
More I want to know
I found I found there tears not like here
Why I visited that house is not like me
And what I said yesterday is not like today
The signs I saw yesterday are not like today

The patient he healed yesterday is not like today
Then grab your mattress and go
Your peace has healed you
I want to know
I want you to know
More I want to know
Let me know
I want to know
I want to know this Jesus
More I want to know
I want you to know my Lord
I want to know

I want to know this Jesus
More I want to know
I want you to know my Lord
Oh God, your other name is Rejected
If you are isolated from society know that this is his sign
If you see waves do not be afraid he is in the boat
God is not tired of you and He has a plan for you
Don’t despair don’t go back he has a plan with you
The desert you are going through is a plan for you
The pain you feel is creating a new organ
The enemies you see today will never see you again
Eeh I want to know
I want to know

More I want to know
Remember God’s thoughts are not like ours
Nor is his mind like ours
It is not God’s plan for anyone to perish
When he let you try it he knew you could
Know that your dream is in line with your faith
The greater your test the greater the testimony
Eeeeah I want to know
I want to know this man
Whoever makes the wind and the sea obey him

I want to know
More I want to know and know and know Jesus
I want to know (ooh let me know Lord)
I want to know this Jesus (partner I want to know Jesus)
More I want to know (my heart longs to know only him)
I want you to know my Lord
Just let me know you oh just let me know Lord)

I want to know you (eh I know Jesus eh)
I want to know this Jesus (I know you Lord eh)
The more I want to know you (the more I want you to know more)
I want you to know my Lord (eh know you Lord)
I want to know
Jesus
I want you to know
my Lord

I want to know (know and know my Lord)
I want to know this Jesus (eeh I know our Father and Father)
More I want to know (more more more more)
Fellow I want you to know my Lord (more Lord let me know you)
I want to know
I want to know this Jesus (Lord let me know you)
More I want to know (I know you)
Fellow I want to know my Lord (Lord I want to know you)