Diamond Platnumz – Haunisumbui (Lyric Video)

Diamond Platnumz Haunisumbui Lyrics

Diamond Platnumz – Haunisumbui Lyrics

Diamond Platnumz Haunisumbui Lyric Video

Si ko ko ko si kanda mbili yani vyote
Haviku pendezi kuwa na ngoko
Usio nawiri tope niutelezi, utaishia kututabiri
Tubomoke ina songa miezi
Mola amesha taka dhiri usijichoshe halivunjiki penzi
Ona umekosa nuru umekosa baati huna
Unaitwa kunguru ukifika wananuna
Ndo ndo ndo mwana chururu

Asiye mbuzi wataka chuna  mengine nisi kufuru mmmh
Hazikukai maskala wala make up zina kushuka uso ume ku parara
Zimetenguka uso sauti yastara kwa kudeka
Una weuka ajibwa kwalo la mbagala lina bweka na kubwetuka wala

Wala haunisumbui wala
Wala haunisumbui wala
Wala haunisumbui wala
Wala haunisumbui wala

Naizo post mara kubebana mara linakusuta mbele za watu
Unapo nitukana siogopi mashushu me wala michambo
Kutwa kwa ma page fake
Kama lokole lina husu mkwe akutake
Eti mwenzangu mbona kuntu
Vi message kujitumisha kwa ndugu zangu marufuku
Nyota ime kufupika usi force umaarufu
Upepo wa kisuli suli unakuchukuwa

Yani sani tanga ni pole, pole wanakununua kwa mizani
Kwangu pame shughuri
Ona umekosa nuru umekosa baati huna
Unaitwa kunguru ukifika wananuna
Ndo ndo ndo mwana chururu
Asiye mbuzi wataka chuna  mengine nisi kufuru

Wala haunisumbui wala
Wala haunisumbui wala
Wala haunisumbui wala
Wala haunisumbui wala

Written by; Diamond Platnumz
Released date; 15 November, 2020

Haunisumbui Lyric Video Diamond Platnumz