Jux As Long As You Know Lyrics, Jux Ilimradi Unajua Lyrics

Heiyee eeeh

Hauna furaha,
Haifichi sura yako.
Najua una mpenzi,
Unampenda ila moyo wako haupo hapo.
Unapata karaa
Unatunza utu wako (Mmm)
Labda unajiuliza kwanini nahitaji namba yako.
(Ilaaa)

Sio lazima nikipiga simu upokee (Aa aa aa aaah)
Sio lazima message zangu majibu yarejee (Aaa aaa aaah aah)
Nasema sio lazima mi nawe tukae tuongee (Ilaaa)
Ukipata muda (Majiii) yakizidi unga nipigie,

Ilimradi unajua (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajuaaa (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajua (Hayee aa hayee hayeee)
Ilimradi unajuaa (Hayee aa hayee hayee)
As Long As You Know, eiiiiiii eeeeh,
As long as you know, as long as you know (Aaaaaah)

Nasema joto,
Likizidi unapoza na maji.
Ila changamoto,
Zinapozidi unakosa amani.
Kuna umpweke hujiwezi,
Unachukia na mapenzi.
Kwanini ufe na kitanzi,
Wakati mimi nipo na iko wazi.

Sio lazima nikipiga simu upokee (Aa aa aa aaah)
Sio lazima massage zangu majibu yarejee (Aaa aaa aaah aah)
Nasema sio lazima mi nawe tukae tuongee ilaa (no no noo)
Ukipata muda ( majiii ) yakizidi unga nipigie, Ilimradi Unajua

Ilimradi unajua (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajuaaa (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajua (Hayee aa hayee hayeee)
Ilimradi unajuaa (Hayee aa hayee hayee)
Mamaa As Long As You Know, Uuuh yeeeeh, Aaa as long as you know, Unajuaaa yeyeee mmmm

Hayee aa hayeee hayeee (Usikose amani)
Hayee aa hayeee hayeee (Mamaa usijitese)
Hayee aa hayee hayeee (I’m here, I’m here , I’m hiiiii)
Hayee aa hayee hayeee (Faraja yako ipo)
Hayee aa hayeee hayeee (Babe usikosee amaniiiii)
Hayee aa hayeee hayeee( aaaaaaaaaaaa aaaaa aaaa)

Jux As Long As You Know Lyrics English Translation, Jux Ilimradi Unajua Lyrics English Translation

Heiyee eeeh

You are not happy,
It does not hide your image.
I know you have a boyfriend,
You love him but your heart is not there.
You get a caravan
You take care of your personality (Mmm)
You may be wondering why I need your number.
(Ilaaa)

I don’t have to call you to receive (Aa aa aa aaah)
I do not have to send my messages back (Aaa aaa aaah aah)
I say you and I do not have to sit and talk (Ilaaa)
If you find time (Majiii) in excess of flour call me,

As long as you know (Hayee aa hayeee hayeee)
As long as you know (Hayee aa hayeee hayeee)
As long as you know (Hayee aa hayee hayeee)
As long as you know (Hayee aa hayee hayee)
As Long As You Know, eiiiiiii eeeeh,
As long as you know, as long as you know (Aaaaaah)

I say warm,
Excess when you cool with water.
Save challenges,
When they do, you lose your temper.
There is loneliness you can do,
You hate and love.
Why die with a noose,
When I am and it is clear.

I don’t have to call you to receive (Aa aa aa aaah)
It is not necessary for my massage the answers to come back (Aaa aaa aaah aah)
I say you and I do not have to sit and talk except (no no noo)
If you find time (water) in excess of flour call me, As long as you know

As long as you know (Hayee aa hayeee hayeee)
As long as you know (Hayee aa hayeee hayeee)
As long as you know (Hayee aa hayee hayeee)
As long as you know (Hayee aa hayee hayee)
Mamaa As Long As You Know, Uuuh yeeeeh, Aaa as long as you know, Unajuaaa yeyeee mmmm

Hayee aa hayeee hayeee (Don’t miss the peace)
Hayee aa hayeee hayeee (Mother do not torture yourself)
Hayee aa hayee hayeee (I’m here, I’m here, I’m hiiiii)
Hayee aa hayee hayeee (Your comfort is there)
Hayee aa hayeee hayeee (Babe don’t miss peaceiiii)
Hayee aa hayeee hayeee (aaaaaaaaaaaa aaaaa aaaa)