
King Kaka Hallo Lyrics
Unajifanya hunioni
Nikiwa tu unameza mate
Unanitesa
Kwa kusoma unatisha hisia zangu
Nimepatiwa namba yako
Ili niweze kukueleza
Hisia zangu kukuhusu wewe mami
Kama vile mtu akifutwa kazi
Anakata tamaa na kupoteza matumaini
Jaribu basi, kuchukua simu zangu
Nikueleze yote yaliyomo moyoni mwangu
Hallo, chukua tu simu zangu
Hallo, sina ubaya nisikie
Hallo, ni kukupenda tu
Kunanizungusha kichwa
Baby hallo, chukua tu simu zangu
Hallo, sina ubaya nisikie
Hallo, ni kukupenda tu
Kunanizungusha kichwa
Baby hallo
Ni kukupenda tu
Kunanizungusha kichwa
Written by; King Kaka
Released date; 06 November, 2020
Leave a Reply