King Kaka – Tunajua Ganji Lyrics

King Kaka Tunajua Ganji Lyrics

King Kaka – Tunajua Ganji Lyrics

Tunajua Ganji Lyrics by King Kaka

Hakuna haja nikuje kwa mlango yako kukubishia
So sai nipatie tu ganji mi nitaishia
Nipatie ganji mi nitaishia
Buda nipatie tu ganji mi nitaishia

Mzae ndo nimeanza job 2 days ago
Natrek ni save ndo niingie ndani Eastlando
Nilibribe nipate job jo through kimchango
Mother ni msick ako pale Dando

Sijapanda mat nisave ndo nimbuyie dawa
Hoping manze vitu zitakuwa sawa
So niwachie ganji mi nitaishia
Please manze niwachie ganji mi nitaishia

Kila mtu ana shida na yako sitaki kuskia
Hata ukinishow nini si ati nitasusia
Imagine haikuwa iwe yangu career
Vile unanicheki hapa nina degree ya Engineer

Wife hana phone, na mtoi pia ni msick
Ile pain ako nayo buda mi hulia
Usinisumbue nikisaka makobole
Ni vile 8-4-4 imetupiga mandole
Nipatie tu ganji buda mi naishia
Bro, nipatie ganji mi naishia
Bro, nipatie ganji mi naishia
Bro

Tumegrow from the same struggle, nini?
Kumekuwa pia na wagondi wa Mysa (Usiniite mgondi buda)
Iza sikumaanisha kuita hivyo
The more unatumia hii kitu unakaribisha kifo
Niko na punch hapa labda nikupe kisoo
Kwa sai niachie tu hii ganji mi nitaishia
Niachie hii ganji mi nitaishia

Oya oya buda buda wacha ufala
But unajua maparo walispend doh sana
Ilifika point mi na wao tukakosana
Am depressed bana nimeona hasara
Hio doh ya chuo wangenipea nifungue biashara
Irony ni madropouts ndio madosi
Mi na degree yangu sina msosi
Buda, nipatie ganji mi naishia
Unajua nani ako na gun, nipatie ganji mi naishia
Unajua nani ako na gun, nipatie ganji mi naishia

Najua nani ako na gun pia nani ako na njora
Lakini nimedecide vile future nitaichora
We jua kwanza am the only son
Nimeraise iwa na single mum
Atleast nimfurahishe apone, niache tu man
Niachie tu hii ganji mi nitaishia
Sitasema niachie tu ganji mi nitaishia
Niachie tu ganji mi nitaishia

Written by; King Kaka
Released date; 8 March, 2021

King Kaka Tunajua Ganji Lyrics