Malkia Karen ft. Lady Jaydee – Kwetu Lyrics - FindOutLyrics Malkia Karen ft. Lady Jaydee – Kwetu Lyrics - FindOutLyrics

Malkia Karen ft. Lady Jaydee – Kwetu Lyrics

Malkia Karen Lady Jaydee Kwetu Lyrics
Malkia Karen ft. Lady Jaydee – Kwetu Lyrics

Kwetu Lyrics by Malkia Karen ft Lady Jaydee

Sioni taabu nakula kwetu nalala kwetu eeh
Yaani sioni tabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, bure mnajisumbua
Yaani sioni tabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, ya nini mnajisumbua mnajisumbua?

Sioni taabu, nakula kwetu wee
Nalala kwetu sina shida mimi
Na wala sina karaha

Sijaomba kwenu, sijalala kwenu
Ya nini lakini kunisimanga mimi
Kila siku niamkapo, kila mahala niendapo
Mwanitaja taja jina langu
Sili kwenu, silali kwenu
Karaha za nini, shida za nini?

Yaani sioni taabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, bure mnajisumbua
Yaani sioni tabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, ya nini mnajisumbua mnajisumbua?

Yaani mi sioni taabu, nakula kwetu wee
Mwajisumbua
Sioni tabu, nalewa kwetu
Nakesha kwetu, yeah

Kila siku niamkapo, kila mahala niendapo
Mwanitaja taja jina langu
Sili kwenu, silali kwenu
Karaha za nini, shida za nini?

Yaani sioni taabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, bure mnajisumbua
Yaani sioni tabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, ya nini mnajisumbua mnajisumbua?

Sioni taabu, nakula kwetu
Nalala kwetu yeah
Yaani sioni taabu! Sioni taabu!

Written by; Malkia Karen, Lady Jaydee
Released date; 24 February, 2021

Malkia Karen Kwetu Lyrics ft Lady Jaydee