Maua Sama ft. Aslay – Wivu Lyrics - FindOutLyrics Maua Sama ft. Aslay – Wivu Lyrics - FindOutLyrics

Maua Sama ft. Aslay – Wivu Lyrics

Maua Sama Wivu Lyrics
Maua Sama ft. Aslay – Wivu Lyrics

Wivu Lyrics by Maua Sama ft Aslay

Aah vimambo vyangu natupa kule
Sineng’eneki nikafa bure
Kwako ni mfu msukule
Kwa baby yake piga kelele wee

Mi hali yangu mbona shwari baby wee
Nipo jikoni nasonga ugali
Uje ule baba wee

Roho yangu safi Mungu kanipa ninachotaka
Kwa wakati naenjoy
Sitaki kuwa mswati
Nimeridhika michepuko na mwendo wa kasi bye bye

Aah vimambo vyangu natupa kule
Sineng’eneki nikafa bure
Kwako ni mfu msukule
Kwa baby yake piga kelele wee

Mi hali yangu mbona shwari baby wee
Nipo jikoni nasonga ugali
Uje ule baba wee

Roho yangu safi Mungu kanipa ninachotaka
Kwa wakati naenjoy
Sitaki kuwa mswati
Nimeridhika michepuko na mwendo wa kasi bye bye

Written by; Maua Sama, Aslay
Released date; 27 January, 2021

Maua Sama Wivu Lyrics