Wini ft. Aslay – Unanikoleza Lyrics

Wini Unanikoleza

Wini ft. Aslay – Unanikoleza Lyrics

Wini Unanikoleza Lyrics

Ndoto niliyoota imetimia
Hey napata ninachotaka mia kwa mia
Ooh baby mitihani niliopita nimetusua
Naringa nimeridhika najivunia

Habibi, habibi nipepese nifaidi
Nipe joto ni baridi
Oooh, iiii

Gaidi, gaidi
Nimetekwa kigaidi
Nimelewa sikaidi

Nifunge kamba nisiondoke
Nizibe nisione chochote
Nikianguka uniokote
Nideke deke

Wa konde mapaka, mapepe
Nilishe mpaka ninenepe
Wakituona watukwepe
Waweweseke

Unanikoleza unanieleleza
Oooh unanikoleza
Sina cha kusema najieleza we
Oooh najieleza

Unanikoleza unanieleleza
Oooh unanikoleza
Sina cha kusema najieleza we
Oooh najieleza

Mwana ana neema
Anakula suro na minyama nyama
Chanda chema
Nakivisha pete kabla halijazama jua

Ilikuwa neema
Kukupata wewe naona zari sana
Nipende mama
Namuomba Mungu nazizidisha na dua

Akikula nakula
Akilala nalala
Nitalala nayee

Mwachana kudura
Labda mapenzi ya Mola
Acha ni dhi ayerehere

Penzi lizani mizani kwa uzito
Hongera umeitimiza ndoto
Mtoto mtojo jicho jicho
Mi kwangu sherehe

Nifunge kamba nisiondoke
Nizibe nisione chochote
Nikianguka uniokote
Nideke deke

Wa konde mapaka, mapepe
Nilishe mpaka ninenepe
Wakituona watukwepe
Waweweseke

Unanikoleza unanieleleza
Oooh unanikoleza
Sina cha kusema najieleza we
Oooh najieleza

Unanikoleza unanieleleza
Oooh unanikoleza
Sina cha kusema najieleza we
Oooh najieleza

Kwakwaru, kwakwaru
Kwakwaru, kwakwaru
Kwakwaru, kwakwaru
Penzi kidalipo ayee

Kwakwaru, kwakwaru
Kwakwaru, kwakwaru
Kwakwaru, kwakwaru
Ukalale nacho

Written by; Wini and Aslay
Released date; 27 November, 2020

Unanikoleza Lyrics by Wini ft Aslay