Rayvanny – Valentine Lyrics

Rayvanny Valentine Lyrics

Rayvanny – Valentine Lyrics

Valentine Lyrics by Rayvanny

My valentine, my valentine
(It’s s2kizzy Beiby)
Valentine you’re my valentine aah

Moyo wake wa dhamani, amenipa bure
Mtoto shepu kaitupa kule
Sio wa zamani  ye fumbili mule mule
Kadogo kadogo utasema kapo shule

Ana tumbo flata kajaliwa hips
Kila picha check naziona lips
Hapendagi pumbi nike kina chips
Sio wa kidimbwi wala simuoni tipsy

Aah…Moyo namfungulia ye
Akae malkia mwenyewe
Sura hadi tabia hee
Kanilewesha acha nilewe

Nyusi kama kapaka wanja
Anawaka bila hata kujipamba
Ana uzungu chembe chembe za Mwanza
Nitatoa mali kwa mzee Masanja

Valentine, my valentine
Valentine you’re my valentine aah
Valentine, my valentine
Valentine you’re my valentine aah

(Special for you baby I love you)

Written by; Rayvanny
Released date; 14 February, 2021

Rayvanny Valentine Lyrics